Recent content by Wangoto jr

  1. W

    Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

    Hili ni tatizo kubwa kwa mitandao mingi kwa sasa ndhani miingoni mwa sababu itakua kuzidiwa kwa watumiaji
  2. W

    Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

    Viongozi wetu bado wanasita kwenye maamuzi nadhani kwasababu hai ingii akilini yani kwamfano mtu ununue sabuni dukani alafu upangiwe na muda wa kutumia usipo maliza aje aibebe.
  3. W

    Faida na hasara za ukuaji wa intaneti Tanzania

    Utangulizi Internet ni chombo mhimu sana kwa dunia ya sasa, kwasababu mambo mbali mbali kama biashala, ajila, matangazo, kusoma, na kufundishia tunatumia internet. 1. Faida za internet kwa jamii (i) ajira. Hapo zamani ili uwezu kutuma maombi ya ajila/kazi ilkua ni lazima utembee na...
  4. W

    Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

    Utangulizi Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya  Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania. 1. Kukosa haki...
Back
Top Bottom