Recent content by Wana Jamii

  1. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Milioni 100 mbona hiyo ni hotel ya zero star kaka. Unajua tunazungumza hapa tukiwa na facts nyingi tu.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Ndugu kuna tofauti kati ya kupoteza kazi ukalipwa stahiki zako na kuwa na kazi lakini hulipwi ujira wako. Mbona hii ni akili ndogo tu?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Asante ndugu lakini nafikiri umesoma lakini hujaelewa msingi wa malalamiko haya.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Huyu ni mwekezaji mpya tena mtanzania mwenzetu aliyeingia mwaka jana mwezi wa nane. Kabla hotel ilikuwa chini ya shirika la wamarekani
  5. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Kajitahidi kwa lipi? Ulipoteza ajira ndiyo lakini si ulilipwa stahiki zako zote? Hivi unajua kuwa huwezi sema una ajira wakati huna ujira? penye ajira lazima kuwe na ujira, right? Halafu tuambie hiyo hotel ya 5 star ambayo imepunguza wafanyakazi kwa ajili ya COVID-19 ni ipi?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Asante ndugu ila soma vizuri barua yetu. Utagundua kuwa hiyo 500k ilikuja kulipwa kutokana na sababu gani.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Chilubi, Wewe tunaweza ongea lugha moja maana hawa wengine sio hoteliers na kama ni hoteliers basi wanafanya kazi migahawani. Sina maana ya kutokubaliana na maoni yao lakini watambue tu kuwa tuna msingi thabiti kabisa wa kusimamia malalamiko yetu kama wafanyakazi.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Pole ndugu yangu kwa kutotambua haki yako kama mfanyakazi. Tambua kuwa mishahara ni moja ya fixed cost (Headache cost) kwa mwajiri na sio Variable cost. ukilielewa hili utajua nini mwajiri anatakiwa kufanya kwa mfanyakazi wake
  9. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    RC hatumii akili ndogo kama yako ndugu 😂😂😂😂
  10. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Tatizo lako unalinganisha kati ya mjsi na mamba. Huwezi linganisha hizi hotel ulizozitaja na Mount Meru hata kidogo maana hazilingani na hazitalingana hata siku moja
  11. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Hujui kitu bado ndugu. hatulalamiki tu pasipo sababu. ungetumia busara tu kuchunguza japo kwa kuulizia ndipo ukatoa maoni yako. anyway anayekijua kilichomo kwenye chungu ni mpishi mwenyewe. hivyo sisi ndo tunajua
  12. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Hujaona sababu ya kulalamika maana hujui haki na wajibu wako kama mfanyakazi. Hivi unadhani mishahara ya wafanyakazi inategemea biashara ya mwezi husika? Halafu lazima ujue ndugu, kupunguza wafanyakazi inaruhusiwa pindi unapofuata sheria. hao waliopunguzwa walikwambia kuwa hawakulipwa stahiki...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Pole sana na nadhani hujui biashara ya hotel wewe ila tu useme unajua biashara ya migahawa. Halafu ujue hatujakurupuka tu kuandika barua hii eeeh.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Ushauri wangu ilikuwa ni kutumia njia ya negotiation na sio huu ubabe. Japokuwa njia iliyotumika ni ukandamizaji wa haki za mfanyakazi, wafanyakazi tumekuwa waungwana ili kumsaidia.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Asante sana kwa maoni yako. Lakini unaposema kajitahidi tena sana unalinganisha na nani? unapima kwa mizania ipi? Hivi unafikiri wafanyakazi tu wajinga kulalamika pasipo sababu? Hivi unajua nini kilichotokea hadi tunasema hiki anachokifanya mwajiri sio sawa? Hivi unajua kuwa hadi sasa mwajiri...
Back
Top Bottom