Recent content by wamwala

  1. W

    Nina watoto, sina nyumba na sina mke

    Maskini Kisandu umepatwa nanini? Hebu Chutama tafadhali usimkimbize mwizi wa nguo zako ukiwa uchi
  2. W

    Mazishi ya Komba yalitawaliwa na sare gani?

    Mtoa nada Una matongotongo kwenye macho.Huoni kama walivaa bendera ya Taifa?
  3. W

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Ni ndoto za mchana kusema Lowasa atakua Raisi wa nchi hii
  4. W

    Edward Lowassa na Wanaomzunguka

    Hii ni kawaida kutokea hasa ktk nchi za Afrika.Mmesahau Rais Jacob Zuma Wa South Afrika,alituhumiwa kukwiba hela pamoja na uasherati, Hadi akatimuliwa umakamu Wa Rais na Rais Wa wakati ule bwana Thabo Mbeki?.Mfano mwingine ni Kenya,Rais Uhuru Kenyata alishtakiwa ICC kwa kushiriki kikamilifu ktk...
  5. W

    Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Nani kakutuma? Uwezo Wa Kiongozi ktk kuwatumikia wananchi haupimwi kwa midahalo
  6. W

    Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

    Mwizi ni mwizi tu,Membe unajitahd sana kujisafisha ila husafishiki.Wewe umekua mtumiaji mzuri sana wa fedha kwenye kutafuta wadhamini mikoani,nadhani hakuna mgombea anaetumia hela kama wewe.Alafu unasema wewe si fisadi,Hizo hela umetoa wapi?
  7. W

    Dah Makongoro hakopeshi!

    Makongoro hawezi kua Rais jaman,acheni mchezo na Ikulu.Tatizo la Tanzania sio Ufisadi pekee, na haliwez kumalizwa kuwatukana wenzako,tatizo kubwa la Tanzania ni System na Bureaucracy,mengine yote yanazaliwa na kutoka humo.Sasa huyu Makongoro hajui kiini cha tatizo,akiwa ikulu hawezi badili...
  8. W

    Mkakati wa Lowassa wavuja.Aamua kutumia mamilioni akitangaza nia

    Lowasa ndie Raisi WA awamu ya tano.Kama humpendi Ni wewe mwenyewe, wenzio woootee wanampenda
  9. W

    Mkakati wa Lowassa wavuja.Aamua kutumia mamilioni akitangaza nia

    Muacheni raisi mtarajiwa.Mbona mnaweweseka Sana?.Hivi kwani Ni kosa kutangaza Nia? Muacheni Lowasa ajiandae kwenda kuapishwa maana keshadhinda tayari
  10. W

    Nabii GeorDavie: Namjua Rais ajaye 2015

    Mungu wa mbinguni hawezi kujifunua kwa mwanadamu mdhambi asiye mtumikia yeye.GeorDavie,sio mcha Mungu ameharibu ndoa ya msaidizi wake huko Arusha,mahakama imethibitisha pasipo shaka.kwa Hilo Tu mungu hawez kumtumia ktk kazi zake.huyu bwana Hana tofauti na wapiga ramli wengine
  11. W

    Dr. Bana: Takwimu za tume ya Warioba sio za kisayansi

    Hua mimi nawashangaa CCM na supporters wake, Tume ya Warioba ilipewa kazi imeshindwa kuifanya maana kazi yao imekataliwa. Sasa mtu anaekosea kikawaida na kisheria anaadhibiwa. Tume imeharibu kazi waliyopewa na Mheshimiwa Raisi,kwahiyo ni kusema kwamba imehujumu pesa za watanzania maana yenyewe...
  12. W

    Mail on Sunday at it again: Tanzania holds the biggest stockpile of illegal ivory on earth

    CDM mnahangaika na uchaguzi chalinze,mara katiba mpya wkt mshapigwa bao.haya ndo mambo mlipaswa kuyashikia bango.lakini ovyoooo
  13. W

    Mail on Sunday at it again: Tanzania holds the biggest stockpile of illegal ivory on earth

    Mimi nashangaa CDM ambao ndio chama kikuu cha upinzani wako kimya hata hawalizungumzii.Ilipaswa kiongozi wa baraza la Mawaziri Mr.DHAIFU(mkuu wa viongozi mizigo awe keshaondoka magogoni).Hivi tumerogwa nanani?
Back
Top Bottom