Recent content by Wamonyo

  1. W

    Maagizo kwa Mbunge wangu wa Jimbo la Lulindi

    Nawasiwasi na chama chako mkuu
  2. W

    Maagizo kwa Mbunge wangu wa Jimbo la Lulindi

    Kwanza kabisa nataka kukupongeza kwa ushindi wa kishindo ambao umeupata,wewe pamoja na raisi wako wa JMT Raisi JPM kwa ushindi wenu na chama kwa ujumla. Najua unakazi ngumu sana ya kulijenga na kulitetea jimbo lako kwa miaka mingine tena 2025-2030 kama mwenyezi mungu atakujalia. Japo najua...
  3. W

    Zitto ataka wanaoikosoa ACT-Wazalendo waanzishe chama chao

    kwa kauli ya Zitto hapaswi kulaumiwa ya kusema asiyetaka akaanzishe chama kumbuka Zitto sasa yupo ndani ya ndoa hivyo hawezi tena toa kauli ya kuwatetea wapiga kura wake na pia kumbuka Zitto Kabwe amekataliwa na wana Kigoma kadri siku zinavyo enda Zitto anaanza rudi Lumumba na sisi wana Lumumba...
  4. W

    Wapingaji wa Rais Magufuli kuelekea 2025 wanafifia

    1.TUNDU LISSU NA BEN MEMBE Hawa ni watu ambao kiukweli hawakuwa na haiba ya uongozi hawa watu ndiyo ambao wameviangusha vyama vyao na walijiona wao kuwa ni new political figure katika Tanzania ya Magufuli. Leo watu hawa wamekua ni wa watu wa kutapatapa kama mfamaji Wazungu ambao...
Back
Top Bottom