Najipanga kwa kuanza kujishughulisha na kilimo, biashara ya uyoga ila bado sijajua masoko ya bidhaa hiyo yako vipi. Mwenyeufahamu wa biashara hii naomba anijuze
Nimeona nami nichangie kidogo katika mjadala huu. Migogoro ndani ya ndoa hasa kuhusiana na mambo ya mali ni very complicated (kwa maoni yangu lakini).
Mimi nimeoa lakini mwenzangu simuelewi, alikuwa akifanya kazi mikoani mie nikiishi Dar. Sasa nikimwambia tujipange ili tufanye kitu cha maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.