Recent content by Walter karoli joseph

  1. Walter karoli joseph

    Ni wapi naweza kupata vifaa vya kutengenezea mvinyo?

    Wana JF family naomba msaada sehemu ambayo naweza kupata vifaa vya kutengezea mvinyo kama vile air lock, champagne yeast, fermentation bucket, wine preservative, siphon tube na yeast nutrient. Please naomba msaada wenu kwa duka lolote lililopo hapa Dar es Salaam.
  2. Walter karoli joseph

    Baada ya kuagiza mzigo Aliexpress

    Just wait brother mzigo ukifika utatumiwa sms na posta ambao utakua na code ya mzigo wako
Back
Top Bottom