Kushangilia kutekekwa kwa Humphrey Polepole na Emmanuel Nchimbi wana ccm wenzio na waliowahi kuwa viongozi wakubwa nchini Tanzania huo ni upumbavu uliopitiliza.
Akili yako iko kwenye makalio.Ona Malawi walipokuwa na Joyce Banda,ona uchaguzi wa Tanzania mwaka jana umechafua taswira ya Tanzania kabisaa.Sasa hivi Tanzania inalinganishwa na Burundi,DRC,Mali,Djibout,Somalia,Uganda,Sudan,Chad na Rwanda kwa sababu ya uwepo wa Delila Samiah.
Kufa kupo pale pale ila matendo ya matukio lazima yawe tofauti.CHADEMA siyo Mungu,SAMIA siyo Mungu,CCM siyo Mungu,IGP siyo Mungu,Mkuu wa Majeshi siyo Mungu pia.Tujitafakari tunapokuwa kwenye nafasi muhumu za kutumikia watu.Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.