Recent content by Walikughu

  1. Walikughu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Hawelewi anachoongea ni kuchanganyikiwa msameheni tu
  2. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

    Mzalendo2015, Hakuna haja na mashitaka kwake wananchi wao ndiyo wanaoona usibishane na mjinga
  3. Walikughu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakeraje? Inatishaje? Mbona ni wepesi tu kisiasa!

    Naunga Mkono Hoja Waruhusiwe Kufanya hiyo Mikutano
  4. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akipata ubunge Arusha nahama nchi

    Kuna wagombea wengine hata hizo Fomu za kuomba kuteuliwa hawakuziona ila walitangazwa tu kuwa wamepita bila kupingwa. Kwa kulazimisha na kutagazwa ushidi may be wataweza lakini kutakuwa hakuna mwakilishi wa wananchi atakuwepo tu kama Zombi fulani tu, Mikutano hatakuwa na uwezo wa kuitisha na...
  5. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi CHADEMA utawaumiza. Mlisusia uchaguzi wa mitaa, sasa mnajisogeza kwa manufaa ya ubunge wa mwakani

    Uhuru wa Nchi maana yake Nini? Ukisha jua maana yake rudia kusoma Thread Yako
  6. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Baada ya gwaride na hafla 9 Disemba, 2019 Mbowe kufanyiwa usaili na viongozi wa CCM

    Mwache afanye Promo kwa Mbowe
  7. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Hata CCM walikukata nafasi ya urais, CHADEMA wamekukataa Kanda awamu ya pili unaondoka, nadhani itakuwa vyema ulivyoamua kumpunzika itakuwa bora ingawa wanasiasa huwa hawaachi wala kususa
  8. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

    Na ccm itaitwa DolaCCM
  9. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

    wamechanganyikiwa
  10. Walikughu

    JamiiForums Tanzania ‘Political morality’ na kinachotokea CHADEMA, Mfinyaji akifinywa unafanya nini?

    maelezo yote haya ya nini? sema mnamuogopa Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema
  11. Walikughu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itoe tamko la kukanusha uongo wa Mwenyekiti wa CCM kwamba Tundu Lissu alilitelekeza jimbo ili dunia ijue Ukweli

    Wote njia ni moja tu, tuyafanyao hapa duniani tutayaacha kuwa mbabe, nyonga wenzako fanya kila uwezalo ila mwisho wake ni kifo tu na kuondoka hapa duniani.
  12. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: CHADEMA yatangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo wa ubunge Songea mjini

    Vyama vy siasa vipo kwa mjibu wa sheria iliyoanzisha mfumo wa vyama vingi, sasa waliopo madarakani wanafahamu hasa ni nini wanakifanya kwa wananchi kwa ujumla ikiwa na kuto ruhusu uwanja sawa wa kisiasa maana wanajua wakiruhusu tu, uwezo wa kupokwa madaraka ni rahisi sana maana wanajua kuwa kwa...
  13. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Kipima Joto ITV: Polepole, Prof. Kitila, Mtatiro - Mageuzi ndani ya CCM, je ni mfano wa kuigwa...?

    Pole pole jibu maswali inavyopaswa kwa afya ya chama chako, mabadiliko katika chama dola lazima yalete impact kwa wananchi wake kwa ajili ya maendeleo siyo maelezo yasiyokuwa na mshiko wowote. Viwanja vyote vya mpira vilivyo vingi vilijengwa na wananchi waliokuwa ccm na wasio wanachama hivyo...
  14. Walikughu

    JamiiForums Tanzania Mahojiano Azam Two TV: Funguka na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson

    Maswali ni magumu inabidi anywe maji kwanza
Back
Top Bottom