Recent content by waleoleo

  1. W

    JamiiForums Tanzania Swali: hivi ni kwa nini wanawake wengi kwenye ndoa wanaamini wao ndiyo wa mwisho kufa

    Kufa anaweza yeyote lakini kwa kawaida shida inakuaga akianza mwanaume ndugu wa mume wanaleta shida sana kunyang'anya mali so ni vizuri wote mume na mke kuweka mambo sawa sikuzote.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kukopa bila kurefund

    tena akijakopa uso wote chini, dawa ni kukomaa tu I guess me mwenyew kukopesha basiii hela yangu lakin utafikir me ndo nataka kopa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kukopa bila kurefund

    tena akijakopa uso wote china, dawa ni kukomaa tu I guess me mwenyew kukopesha basiii hela yangu lakin utafikir me ndo nataka kopa
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe ashawahi kutoa mimba.,.na vile alivyo ni SIVYO alivyo

    Huyo ndo Perfect kama kaweza kujiweka wazi, wengine wanaficha hongera kwa kupata mke mwema
  5. W

    JamiiForums Tanzania namuonea huruma wifi yangu

    poa poa ntafanya hivyo
  6. W

    JamiiForums Tanzania namuonea huruma wifi yangu

    Nashukuru sana ntafanyia kazi ushauri. Afu kikubwa yanaweza nitokea hata mim
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kukopa bila kurefund

    pole dah uzuri wake siku nyingine akiwa na shida hawezi tena kuja kwako kwa aibu,
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kukopa bila kurefund

    mbaya zaidi jamaa anakumbia njoo saa kumi uchukue ukfika unaambiwa katoka mapema sana leo job!!
  9. W

    JamiiForums Tanzania namuonea huruma wifi yangu

    nimezungumza nae mara nyingi yeye alalamika kua mkewe anapenda udiva since anakazi nzur anamzarau,
  10. W

    JamiiForums Tanzania namuonea huruma wifi yangu

    thanks mwaya
  11. W

    JamiiForums Tanzania namuonea huruma wifi yangu

    inanihusu coz anachukua had my friends ambao wanakuja hm kwa jina langu soo likitokea ntakua ndani yake
  12. W

    JamiiForums Tanzania namuonea huruma wifi yangu

    mume hatafutwi wew!!! untaka nikajiuze tuliza vidole vyako kama u dont feel lyk saying anythng gud
  13. W

    JamiiForums Tanzania namuonea huruma wifi yangu

    muda ukifika, afu mume hatafutwi. 2mezaliwa wawili tu napambana nijitegemee usihofu
  14. W

    JamiiForums Tanzania namuonea huruma wifi yangu

    my dia ungeishi nae ungeelewa nin nasema, kunaushauri naweza ufanyia kazi thanks anyways
  15. W

    JamiiForums Tanzania namuonea huruma wifi yangu

    kwa kifupi dunia ya asahivi imechafuka watu tunaficha uongo kwa uongo mwingine Kumtimizia kaka yangu haiwezekan labda kama kikwenu ruksa kwetu mwiko
Back
Top Bottom