Recent content by Waleko

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mabasi mapya 70 ya Mwendokasi yamehifadhiwa eneo la hatari sana

    Watanzania bado kuamka, hii biashara ni ya ubia, wazawa wamo kakini tumezoea ubwete, na ndio maana baadhi ya viongizi kwenye kinyang'anyiro cha urais walikua wanasema (watu wasilipe kodi badala yake madini yetu tuwape wazungu ili wawe wanatupa misaada) Ndivyo rulivyo
  2. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasipojifunza ustaarabu watapoteza malengo

    Pia umefika wakati sasa viongozi waliokaa madarakani kwa muda mrefu ama kwa kuteuliwa ama kwa kuchaguliwa, kama Tundu Mbowe nk. Wakae pembeni!! wapishe damu changa na mawazo mapya. Mjuwe vilevile kuwa kuna kuchokwa na wanachama.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wabunge msiotosheka na 12M, achieni ngazi young graduates wachukue nafasi zenu

    Kama inakuja vile
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuendeleza magorofa ya Morocco na Kigamboni

    Wizi kwa maana ya mikataba ya ujenzi ya ovyo. Uwekezaji ni muhimu, ili wapate pesa za kutosha kuendelea kuwalipa wastahiki.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mwanza inapokea 10% tu ya mizigo kutoka Dar huku Kigoma ikipokea 41% ya mizigo. SGR ya Mwanza ni White Elephant project

    Taarifa za mchumi wa BBC za kisiasa tu, Afahumu kua kuna mizigo mingi sana inayokwanda Uganda, Sudani ya Kusini na Congo ikitokea Mwanza kupitia Ziwa Victoria . BBC zimejaa propaganda. Tunasonga mbele tu 'KAZI IENDELEE'
Back
Top Bottom