Hakuna kitu, Naona muhimu ni kumwachia Mungu tu, akuna jingine la kufanya. Nilishaingia sana kwenye maombi. Naona nimesha kata tamaa. Nitaendelea kufanya kazi kwa bidii. TUWE WATULIVU. JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE.
Yaani najizuia hadi nashindwa. "MUNGU ATUPE NGUVU NA KUTUFARIJI" Hivi ni kweli au?. Siamini ninayo yasoma hapo juu. Mh. Rais anayeshikilia Nchi hii atatusaidia. Ni mwezi huu wa nne tutalipwa haki zetu zote na tutakuwa na amani.
Mimi naamini kuwa atatulipa madeni yote (ya miaka yote)mwezi huu wa nne (22/04/2018). Nina imani kuwa tutalipwa wote. Suala la uhakiki lilianza zamani na ninaamini kuwa lilisha kamilika.
Narudia. Ni vema ukajenga UPENDO kuliko chuki. Sasa kama dini inafundisha kitafauti nakushauri utoke huko kwani ni sehemu ya wafu wa kiroho. Ndio maana kuna chuki, uongo, matusi ....
Mimi sina chama na siko chama chochote. Ni mpenda amani na ni Mtu wa Mungu.
Ukweli sasa mmeshaanza kuleta siasa...
Mimi siko kwenye chama chochote. Ila nampenda MUNGU na sio shetani. Shetani ni baba wa chuki, uongo na mauaji ....matusi...usodoma ..... Sasa wewe upo wapi?
Hili la kujiteka ni moja ya dalili kuwa hata kukiwa na maandamano nadhani kuna watakao jiua au kuua watu ili tudhani kuwa ni Mh. MAGUFULI kahusika, kumbe sio. Na watakuwa na haki ya kupata Mawakili hata toka nje.
Siasa imefika pabaya sana. Ni siasa ya chuki na vituko vya hatari kwa Taifa na...
Kesho no Jumapili ya tarehe 19/03/2018. Hima tuwe pamoja kuombeana. Tumshirikishe MUNGU kwenye huu ugumu kuwe laini na tupate malipo ya pesa.
Ni MUNGU TU NDIYE MWENYE UFUMBUZI. TUNAAMINI KUWA MAANDAMANO HAYATAKUWA NA TIJA NA YANAWEZA KULETA MISIBA.
Nawasilisha kwa maombi ya kesho huko Makanisani.
Mkikinukisha ni nani ataumia?. Chuki au kupanga fujo sio vema. Ni vema kupanda UPENDO na sio CHUKI. Wakristo na Waislam ni ndugu na wanapendana sana. Wenye chuki sio Waislamu, wenye chuki sio Wakristo. WATANZANIA TUENDELEE NA KUPENDANA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.