Recent content by WALA BATA MWANZA

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Lasvegas uchafu wote unaupata, hapo kona ya Bwiru.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Kila wikiend usiache kupita.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Kama hutaki, ila kama unataka raha ni nyingi tu.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Diamond zinapatikana kwa wingi.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    chips kavu 1,000 na chips yai ni 2,000 ila hata kwa 1,500 unapata.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Ni makoroboi au sehemu inaitwa vitunguu, maeneo ya soko kuu mjini.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Kwa weekend hii, burudani za kawaida tu zitaendelea katika viwanja vifuatavyo: 1. Cask kwa wale wapenda disco na sehemu ya wazi. 2. Diamond, hapa kwa wale wapenda mziki wa kukaa zaidi. 3. Maduhu_Square_Garden, hiki ni kiwanja kipya kwa watu wastaarabu na wenye familia zao, kipo mtaa wa Uhuru.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Wadau pokeeni salaam kutoka Mwanza, Huu uzi utakuwa mahususi kwa taarifa mbalimbali kwa wala bata walioko Mwanza hata wageni, unaruhusiwa kuuliza taarifa yoyote itakayokufanya ule bata na kufurahia neema za Mungu zinazopatikana katika jiji hili tamu na zuri. Karibuni sana.
Back
Top Bottom