Recent content by wakukae

  1. wakukae

    Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

    Kaka yangu alioa mpare. Ilikua wakija ndugu zake basi wanapewa kazi. Mdogo wake wa kiume akawa kazi yake garden na kuangalia ng'ombe, mdogo wake wa kike ilikua ndio kazi zote za pale nyumbani kama housegirl. Kwakweli nilikua naona ajabu sana. Sisi ndio lile kabila kila siku nyumba imejaa...
  2. wakukae

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma jiji

    Chidachi mkuu. Nyuma ya St.Mary's. Nilipata mteja kwa m30
  3. wakukae

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Naomba kuuliza swali moja kwa Arsis. Je sisi binadamu tunazaliwa na kuishi mara moja tu. Yani tangu dunia ilivoumbwa ndio tumezaliwa hivi sasa? Au kuna siri nyingine ambayo hatuijui?
  4. wakukae

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma jiji

    Eneo zuri sana, kwenye kona, kuna barabara mbele ya nyumba na barabara ubavuni mwa nyumba
  5. wakukae

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma jiji

    Milioni 34 mkuu
  6. wakukae

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma jiji

    Ndio kina hati miliki ya wizarani
  7. wakukae

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma jiji

    Nauza kiwanja Dodoma mjini maeneo ya Chidachi mlimani jirani na St. Mary's. Kina ukubwa wa sqm 600. Kina nyumba ambayo haijamaliziwa, ina vyumba vinne, viwili vikiwa master, sebule, dining, jiko, stoo na choo na bafu ya public. Bei ml 34. Mawasiliano 0766255566
  8. wakukae

    Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

    Wewe unaonekana ni wale wakaka Tunawaita Mr. Perfect.. kiukweli wadada hatupendapi wakaka wa hivyo utaachwa kila siku. Nyie huwaga mmezaliwa miezi ya mwishoni mwa mwaka. Mnajionaga perfect kweli
  9. wakukae

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Follow this link to join Forex Dodoma WhatsApp group: FOREX CENTRAL ZONE
  10. wakukae

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Mchakato unaendaje mkuu? Inabidi tujikusanye tufike 100+ ndio anaweza kuja Sent from my SAMSUNG-SM-N900A using JamiiForums mobile app
  11. wakukae

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Au Dodoma mnajipanga kimya kimya? Tushtuane jamani
  12. wakukae

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Dodoma kimyaa.. wakuu tuanzeni kujipanga tupate somo
  13. wakukae

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Huko pm ndio wapi tena? Tukutane hapa hapa tuunde group la whatsapp tuanze safari
  14. wakukae

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Wakuu wa Dodoma mpo? tujiorganise tupate training
Back
Top Bottom