Recent content by WAKUJILA

  1. W

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    people only need to change the party, why can't they think of who is going to leader their beloved country
  2. W

    FURAHA YA KUSHINDA UJANGILI (Pichani)

    ingependeza kama angembeba mwanaume
  3. W

    Lowassa aitikisa Arusha, kutangaza nia ya urais Mei 24 mwaka huu

    sasa c tayar keshatangaza kuna haja gan tena ya hyo tareh. go e.l gooooo
  4. W

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kamati Kuu CCM kukutana Mei 23 Dodoma kujadili ajenda mbalimbali

    mtaweweseka saana ila e.l ana nguv, nyinyi em hawamuwez
  5. W

    CHADEMA kususia kuhudhuria mkitano mkuu na uzinduzi wa ACT-Tanzania

    CDM na nyie msiwe kama hamna "elimu ya ushirika" hapa wengi hawataelewa, ila nyie fanyeni hamjui lolote na mshirikiane nao. kuleni na kipofu basi cyo kilakitu mnaleta upnzani tu. Kwan mkishiriki mtapungukiwa wafuasi, you have to be optimists la cyo ndo mtapoteza iman ya wafuasi wenu kwa vitu...
  6. W

    Pinda aingia mitini kukwepa BVR!

    yan kweli viongoz wetu ni shiiiiida, hiv hata kama document zao zinawadanganya juu ya ufanic wa mashine zao za BVR, hawawez hata kusoma picha na kuona uhalisia wa zoez hilo kwa kuoanisha tarehe ya kupga kura namaendeleo ya uandikishaji, what a shame.....
  7. W

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    piga kazi vijana ila hzo pesa msisahau kujenga ofisi iliyo nzur na ya kisasa kila wiliya nami ntawapa wangu....
  8. W

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    The plot to kill Dr. W. Slaa reminds me of the 'Watergate scandal' in U.S.A. Nchi imesahau kuwa tanzania imekuwa kitechnologia na upeo wa watu wake walioelimika umeongezeka. Vyama vyetu vimekuwa na uelwa wa kimikakati hivyo c rahisi kudukuliwa kama nyakati za nyuma hivyo ni muhimu kwa chama...
  9. W

    Ni kweli Kidoletumbo (Appendix) hakina umuhimu tumboni?

    najua wataalamu watatoa majibu ya maana juu ya afya hii ya mwili, ila wapita njia watataka kuzingua. idoyo
  10. W

    Ni kweli Kidoletumbo (Appendix) hakina umuhimu tumboni?

    Nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa Kidoletumbo hakina umuhimu ndani ya mwili wa binadamu zaidi sana ni matatizo tu pale kinapojaa mchanga na mawe, na hata kusababisha kifo kikipasuka ndani ya tumbo. Je hii ni kweli? Na ina maana Mungu aliyetuumba wakamilifu kakiweka cha nini?
  11. W

    Serikali yetu inajifunza nini juu ya maandamano ya vijana wa JKT

    Serikali iliyo na uongozi makini lzma siku zote ijifunze kutoka kwa 'events' mbalimbali zitokeazo iwe kwa uzuri ama kwa ubaya. Hainiingii akilini kwamba vijana hawa walokula kiapo watake kuandamana bila kuwa na 'course' ni kwa mantiki hyo nauliza nini umakini wa serikali yetu hii sikivu...
  12. W

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    hili ni picha la kihidi, aliyejihudhuru leo ndio co-enemy, hahahahahaha.
  13. W

    Siri nzito ya Kikwete, Karamagi yaibuliwa

    yan yatafichuka mengi kabla hawajaiacha hii dunia, yaliyo fanyika gizan yatafunuliwa nuruni!
  14. W

    Ushindi wa CHADEMA Urambo, CCM wapoteana

    things have changed these days nyinyiem wanaelekea kukata kamba
Back
Top Bottom