Recent content by Wakudadavuwa

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki (TEC) wameanza, huenda wakafuata waprotestant (CCT), wapentekoste(PCT) na wasabato. Rais Samia nakushauri achana na DP world!

    Kwenye hoja zinazogusa maslahi ya wananchi ficha upumbavu
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

    Dogo wanapozungumzia masuala ya nishati hususani umeme kutoka Mutukula hadi Mwanza...nini maana yake? Au Mwanza ni mali binafsi?
  3. W

    JamiiForums Tanzania "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

    Paskali, jana usiku ulipata Whiskey...umemsikia Tulia? anakataza watu ambao hawajawahi kuagiza fulana wasiongee kuhusu bandari
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu hapa, hakukuwa na Tender kama Waziri Mbarawa alivyosema leo

    Mbarawa muongo sana
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao

    Duh pole,unapitia uchungu mkali sana
  6. W

    JamiiForums Tanzania RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Paskali ifike sehemu uwe na uwezo kuelewa kauli za kiutu uzima.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mwananchi amwaga Machozi akimtaka Rais Samia kufuta Mkataba wa DP World

    Sasa hivi wapigaji watakuwa waarabu
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Dkt. Bashiru: "Madalali wa mali za Umma hawawezi kupendezwa na kuhojiwa"

    Ungejibu hoja yake,huu mjadala wa bandari umekufanya uhahe sana,hutulii.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Dkt. Bashiru: "Madalali wa mali za Umma hawawezi kupendezwa na kuhojiwa"

    Muda umefika "ndovu" ataaibika.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

    Paskali unahamisha mjadala kiujanja huku ukizuga uko pamoja nao.USD 50k sio haba
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wazo la Leo: Aliyeumwa na Nyoka...

    Paskali awamu hii wanahabari wana hela sana
Back
Top Bottom