Recent content by Wakoy

  1. W

    Faida za tunda la ukwaju

    Halo Remsa, naona umetumwa na Mungu kunisaidia. Natafuta mbegu za mti huu wa mlonge. Nina ugonjwa wa kisukari na nafahamishwa mbegu za mti huu husaidia kukinga viungo vya mwili viharibikavyo na madhara ya ugonjwa huu. Naomba kukuuliza kama waweza nitumia kwa njia ya Posta tafadhali? Ntashukuru...
  2. W

    Hodi ndugu zangu!

    Hodi humu! Mimi hapa mgeni, naomba kupewa sambusa na juice kama karibu! :)
Back
Top Bottom