Recent content by wakiwandani

  1. W

    Boxer 150 / XL 250 inaitajika (most wanted)

    Bei ni maelewano hiyo ni ya kuanzia naweza kuongeza zaidi ya hapo bidhaa ikipa
  2. W

    Boxer 150 / XL 250 inaitajika (most wanted)

    Wana jf napenda kuwatangazia kwamba nahitaji kununua pikipiki aina ya Boxer 150 / XL 250. Hivyo kama kuna mtu anauza pikipiki yake naomba tuwasiliane. Bajeti yangu ni Tshs 548,590/= Nb = vielelezo vya uhalali wa umiliki vitaitajika kuwepo wakati wa mauziano = Ingine isiwe na dosari...
  3. W

    Msichana (mke) mwenye mapenzi mema karibu tuyajenge. (Huu ni mwaka wa kujiunga na chama cha wanandoa)

    Ndugu zangu wana JF huu ni mwaka wa pekee katika historia ya maisha yangu ni mwaka ambao natarajia kuaga rasmi katika chama kikuu cha useja na kupewa usajili wa kudumu katika chama cha wanandoa. Japokuwa sina mchumba kwa sasa na kwa kuwa tunaishi kwa imani ni matumaini yangu kuwa...
Back
Top Bottom