habari wana jamii,
mimi ni binti wa miaka 21 nimekua katika mahusiano ndani ya miaka miwili ila jambo ambalo sielewi kwa huyu mwenzangu ni tabia yake.
kabla nimewahi kumfumania zaidi ya mara moja kama hiyo haitoshi kanilaza kitanda kimoja na mwanamke,lakini anadai ananipenda mara tu niamuapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.