Mkuu tunaomba tujadili hii mada ambayo imesambazwa UK ,hasa juu ya viongozi wa CCM tawi UK,Txt msg imetumwa jana
"Siamini mama kumuacha mwanae wa miezi sita ,kijana wa miaka tano,na binti wa miaka 13 na kwenda dodoma kisa eti kaahiwa ubunge na u dc na kigogo ikulu.hivi ccm wanalijua hilo,kwamba...