Wrestlemania mwaka huu lesnar alipigana na Roman Reigns kugombania WWE World Heavyweight Champion na Reigns alikaribia kushinda kabla ya Seth Rollins aja cash MITB contract na kumpokonya ushindi Reigns
Ni bora simba iuzwe tu mana watu walioko simba wanaona kama wamezaliwa ukoo mmoja na timu na kila mtu anataka kutoa maamuz atuwez kufika kokote kwa namna hii mpk inafikia kukumbuka simba ya m/kiti hasan dalali kuliko hivi sasa...
yan klabu kama azam inatuzid kwa kila idara kama leo nmepta...
bado sana kuanza kumlinganisha samatta na mchezaji yoyote wa afrika alioko ulaya,samatta anahitaji kujituma zaidi ili kufikia malengo na sio kuskliza sifa za wabongo mwishowe akapoteza ata nafasi aliokua nayo hivi sasa.
"It Always Seems Impossible Until Its Done".
Moja ya kauli za kishujaa za Hayati mzee Nelson Mandela Kuelekea kuadhimisha siku ya kimataifa ya Nelson Mandela (International Mandela Day 2015) katika Bonanza la Wakali Jogging
&KAZ KAZ&
Kwa heshima na taadhima, uongozi wa WAKALI JOGGING wakishirikiana na UBALOZI WA AFRIKA KUSIN nchini TANZANIA tunayofuraha kuwaalika katika bonanza letu la kimichezo la Mbio za Pole (Jogging).
Maazimio ya bonanza hili ni kuadhimisha siku ya MZEE NELSON MANDELA 2015 litakalofanyika trh 27/09/2015...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.