Mwandishi sahihisha maandiko yako. Tani millioni moja siyo mchezo. Hiyo Tanzania fertllizer co ltd chini ya wajerumani haitufikia hizo tani kwa mwaka bwashee.
Obama aliwahi sema kuwa amekaa white house vipindi viwili lakini kuna vyumba hakuruhusiwa kuingia.
Hivyo huyu mama asubiri nje sinia la ubweche tuu.mnunuzi wa mchele anajua hela zinatoka wapi.
La umenikumbusha kitambo saana pale airport cargo . Yule mtu kaja na demu wake kuchukua mzigo wake na yupo chakali. Wale jangu wa pale mmoja switch imekata akamfuata kupekua kilichomo. Tulishitukia tu wehani sauti kali wote tukasambaa.
Je anajua anachozungumzia? Pili yeye na HP nami alikuwa karibu na meza ya malkia. KENGE AKIKWAMBIA KUWA MAMBA AMELALA AMINI KWA SABABU WOTE WANAISHI MAJINI.
Afadhali ya wewe umesema ukweli ndani ya roho kuwa HP kasema ya ukweli mtupu. Kujitoa hapo ni viongozi wako wa chama kuwaambia IT wenu waachane na link hizo chini ya usimamizi wa watanganyika wote. Na ile kambi iliyoko hapo mlimani city ivunjwe mara moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.