mi ndo waliniambia niende iringa kufanya huo usaili wa freelance sasa salary ndo hiyo bora mm niligoma hata kwenda huko ktk usail mana nauli + guest house+ msosi inakuwa juu ya salary kwa mwez sasa km serikali taasisi zake ndio wanafanya hivyo huko private c ndo wanauuwa kabisa BORA UWE MFUGO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.