Recent content by waguna

  1. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

    Vipi Banda bado zipo anasemaje boss
  2. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

    Sawa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

    0742818772 nichek tuongee
  4. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

    Baba ulizeni na sio kutupana maneno hapao taji sio mamilioni wala nini mtaji ni akili na pesa kiasi kit aka hi wezesha biashara kazi kuanza na kuiendesha Ndio maana tunahtaji wenyewe maeneo
  5. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

    Quality thing sio Rahisi hivyo
  6. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

    Hata morogoro kama Upo na nia na biashara Hii nichek
  7. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

    Popote utakapo kuwa but Iwe dodoma
  8. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau Dodoma kushirikiana nae kufuga kuku

    Natafuta mdau wa kushirikiana nae kufuga kuku dodoma ambae mwenye eneo na nia ya biashara hii mtaji ninao na masoko
  9. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza viti na meza vya mbao kwa ajiri ya mgahawa

    Nichek 0746484643
  10. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza viti na meza vya mbao kwa ajiri ya mgahawa

    Mimi nikichanga moto tafuta atakae changa unga na maji afu wewe utachanga pilipili
  11. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza viti na meza vya mbao kwa ajiri ya mgahawa

    NAUZA MEZA NA VITI VYA MBAO meza 3 za chakula Meza 2 kubwa kwaajiri ya counter ya mhagawa Kuna viti 11 vipo fresh ni bado vipya vilitengenezwa kwaajiri ya mgahawa sasa vinauzwa kwa dharula Vyote 800k Pia kuna microwave ya mtumba BEI 50000 Call 0746484643
  12. W

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata mkopo?

    Mimi na weka nyumba
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Mimi pia nahitaji kujifunza kuhusu maswala ya hisa huwa yana nivutia sana ila sina nacho jua kuhusu hisa nahtaji kujua na kufanya pia pls nahtaji elim zaidi
  14. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji vifaa vya mgahawa kwa kukodi au kuchangia na mtu mwenye shughuli ya mgahawa tayari

    Habari ndugu Mimi ni kijana mwenye taaluma ya upishi pia nimechukuwa certificate ya maswala ya planning and so on. Hivyo kwa sasa nilikuwa natafuta baadhi ya vifaa vya mgahawa iwe kwa ajiri ya kukodi au kushare nipo teyari kwa yeyote anaye husika na maswala ya migahawa na anavitu vya migahawani...
Back
Top Bottom