Luna utapeli mwingi kwenye online businesses. Kayla hujajiunga Tanya utafiti wa kutosha, pamoja na lini hiyo business imeanzishwa, na faida inayotolewa. Ukiona faida ni kubwa, kaa mbali nayo. Nyingi zinakuwa zile zinazoitwa "Ponzi schemes"
Onecoin is another crypto currency ambayo ni centralised tofauti na bitcoin ambayo ni decentralised. Hata hivyo, onecoin bado haijaanza kutrade public until possibly April 2018. Kwa sasa kinachofanyika ni ku create demand. Uki invest now, uwe tayari kusubiri hadi 2018. Onecoin imeanzishwa na Dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.