Jaman msikate tamaa mapema majina bado mengine yatatoka kikubwa kua na subra kila mtu amuombe Mungu wake kwa Imani yake lolote laweza tokea[emoji120][emoji120]ila hiki kipindi kinakuaga kigumu haswa kwa ss watoto wa wakulima.... Nawatikieni kila la kheri wadogo zangu
Hahaha mkuu umenkmbsha mi pia muhanga wa loanboard ctakaa nisahau.kwanza nliaply nkafata taratibu zote nkatuma fomu badae jina likaja kutoka fomu haina cheti cha kuzaliwa na nlituma vyote nkaona isiwe shida nkawatumia tena Sasa cku ya kuzituma nlipata dharura kdg so na zoezi la kutuma likaishia...
unalipia 25%den utaapply upya mkopo na baada ya kulipia kuna barua utapewa utaambatanisha kwenye fomu yako wakat wa kutuma...ila kwenye kuja kupata n kumuomba Mungu maana lolote laweza kutokea....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.