Ni
HAKIKA INAFIKIRISHA SANA.
Japo matatizo yote yanasababishwa na suala la malezi na makuzi ya mtu tangu akiwa mtoto, asilimia kubwa wazazi ni hawalei watoto ipasavyo, tatizo sio mtu kuwa single mother inshu ni familia aliyokulia na shule aliyosomea.
Hadhi ya mzazi hufanya mtoto ajivune.
Nawaza je siku hiyo mke WANGU atajua sijaoa jinsia yake ya kike Wala hajaolewa na umbile langu la kiume? Je atajua umri wangu na wake si kiini chetu, Wala uzuri wake si nguzo yangu ya kudumu?
Siku nikimuoa mke wangu sitamvika pete kwanza, nitamvika maswali.
Kwasababu ndoa si sherehe ya kupiga...
Kwanini unahitaji kuzaa mkuu, nimeona kama lengo ni akuzalie mtoto wa kike ili ujipatie ng'ombe wako 50 basi utakuwepo umefeli parefu sana.
Kaa fikiria ujue kwanza ni kwanini unataka ulete mtoto, ama unaleta mtoto na falsafa ipi nadhani angekudhalia tu huyo mwanamke.
Anyway, Upone.
Binafsi mwanamke hata awe na mwanaume mwingine anayempenda mimi sina shida, kikubwa tuelewane mimi na yeye. Ila siku nikimfuma na huyo mwanaume talaka 3 hapohapo *****.
Anyway, KATAA NDOA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.