Tatizo kama hilo huwa linatokana na ku update simu kila mara pia linatokana na virus kushambulia network file. Hii hupelekea simu kuanza kuleta shida mbalimbali za mtandao ikiwa ni pamoja na ceureler networks na internet.
Jaribu ku update system software kwenye settings na kama tatizo...
Jua lililowaka mwezi wa Novemba lilikuwa kali sana kwaio haya ndio madhara yake ila waliokuwa wanakunywa maji mengi hawajapa tabu kama hiyo pia kungekuwa na mlipuko wa ugonjwa tungejulishwa na vyombo husika tuwe wavumilivu pia tumuombe Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.