hakika wasira ni aina ya viongozi tunao wataka,nadhani akitangaza nia atapata wafuasi wengi,na kwa mtazamo wangu nadhani ni bora kuliko wote wanao tajwa.
January ni tatizo kuliko matatizo tuliyo nayo bumbuli ugomvi wa baba yake na shelukindo umetuathiri sana wananchi,umepekea kiwanda cha chai kufungwa, hakuna alichofanya bumbuli miaka yote mitano zaidi ya kuwagawa wananchi, hawezi kamwe kushinda bumbuli asahau ubunge.
Naunga mkono asilmia 100% kama mzaliwa wa musoma mjini, muhongo atatufaa sana sio huyu muhuni wa sasa,jimbo lina wasomi kibao hatuwezi kuongozwa na darasa la saba kwa kivuli cha mwalimu NOO!@
hakika huyu jamaaa ni jembe anajitahidi sana kwa muda mfupi alio kaa kilimo ameweza kutatua maswala makubwa mawili kwanza issue ya sukari pili malipo ya wakulima, hizi zilikuwa kero kongwe wizara ya kilomo. Hata mimi nadhani ipo haja ya kumfikiria wasira katika swala la uraisi.
Makamba longolongo nyingi Lakini uwezo wake mdogo Hana kitu tangible cha kujivinia alicho saidia wananchi **** waziri. Kaharibu jimbo la bumbuli migogoro ya wakulima wa chai imekuwa maradufu, ubunge bumbuli hatakuchagui tena , urasi Sio simple kiasi hicho akaandike vitabu uwezo wa kuongoza Hana.
Hizo hoja zako haziwasaidiii wananchi , wananchi wataka mazao Yao yanunuliwe, Hizo porojo zako hazitusaidii mrudishie aliyekutuma sisi tunataka viongizi wanao kuja na solutions za kero za wananchi.
Sisi wakulima wa mahindi wa mkoa wa ruvuma tumefarijika sana na kauli ya muheshimiwa wasira, anaonyesha Dhana ya uongozi, watu kama hawa ni hazina kwa taifa. Nilipo Sikia kauli hiyo nilishaanga alikuwa Wapi jakaya ?? Maana wasira Ndio suluhisho pekee la wakulima kwa kuwa ni mkulima ,anajua shida...
membe na mwenzie pinda wote hawana sifa za kuliongoza taifa.wavutane tu lakini wote hawana sifa, watu pekee walio bakia katika mbio hizo ni wasira na lowasa ,Hata hivyo ukimya wa lowasa katika swala la escrow linaacha maswali mengi kwa umma juu ya uadilifu wake ,hivyo kumuuacha wasira kuwa...
Ni mmoja wa watuhumiwa wa escrow kabebwa funika Kombe mwanaharamu apite, amejipunguzia heshima kwa taifa alipaswa kuachia ngazi, uwezo wake wa kiutendaji mdogo sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.