Recent content by Wa maskani

  1. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Mijadala JamiiForums: Zana Mpya za Akili Unde (AI) zinakuja Wikendi hii!

    Na kwenye translate muweke luga ya kichina ina uhitaji mkubwa sana
  2. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kujenga Mwanza

    Nimeina sehemu hii
  3. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Niambie kitabu chochote unachokihitaji nikutafutie

    Nitafutie KISASI Aliandika FRANK MUSHI sehemu ya KWANZA na ya PILI
  4. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa viwanja kwa mfumo wa TAUSI ni kama kuna michezo hivi

    sasa hivi huu mfumo ni kama siuamini tena ni dili la tatu leo nakwama ila yale mengine yasiokua na faida na umuhimu yapo tu hapo ilikua kasoro dk 6 mda ufike
  5. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    samahani mkuu,watu tunatofautiana kufikiria lakini ngoja nikuulize kwani huyo mtoto mazingira aliyopo sasa hivi ananyayasika? kama sio hivyo basi achana na kumuwazia huyo mtoto kabisa badala yake hizo hela ulizokua unatoa kumhudumia fanya maswala mengine ya msingi au kunywa hata pombe kila mwsho...
  6. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya kuchaji inauzwa 700000

    mkuu kuna laki tano chaaap tumalize hii biashara
  7. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

    ni kampuni gani ya majiko haya ni zuri saiz hio hio 50×50 liwe na plate za ges na ya umeme moja,liwe na uwezo wa kuoka/kuchoma nyama na bei yake ni kiasi gani
  8. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu hivi kwa lugha ya kiswahili

    nikituma pesa halafu usipatikane je,? halafu unatuma hivyo vitabu kwa njia gan
  9. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu

    396L 1M itakufaa?
  10. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu

    samahani.hakuna au hauna
  11. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu

    hisense ya saiz hii ni bei gan au homebase
  12. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Kuuliza Si Ujinga

    nafikiri zinazuia baadhi ya ndege kutua kwenye bati ili wasinyeee bati ambapo bati huchafuka na kupata kutu sasa hizo nyaya wanaweka kwenye migongo ya bati
  13. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza Meno huna Ulazima wa Kubaki na Mapengo Kuna Suluhisho la Kudumu

    sijui kama ni hayo 24 ndio yamebakia ila daktari hajanipa bei ni vyema angeandika makadirio hapa ili na wengne wajui na waelewe thamani ya meno
  14. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza Meno huna Ulazima wa Kubaki na Mapengo Kuna Suluhisho la Kudumu

    garama ya kuweka meno 8 ni shngap niandae ikiwemo ya kumuona daktari yale ya bei ndogo ikifatiwq na ya bei ya kat
  15. Wa maskani

    JamiiForums Tanzania ChatGPT Ime-jam na kuchanganyikiwa baada ya kuiuliza swali hili fupi

    10,007=kumi elfu na saba. 17,000=kumi na saba elfu. bwashee hujui haya mamboo
Back
Top Bottom