Recent content by Wa kusoma

  1. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

    Ukweli ni huu
  2. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Naona mwezi wa 7 au 8 E tayari
  3. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

    Gari ni ya 2009 grade 4.2, Km 58,000. Na zaidi ya hapo Gari zimepanda bei sana. Niliilinganisha bei kutoka kampuni mbali mbali kwangu nikaona hiyo ndio ilikuwa bora. Yaani hiyo 22M ni gari kunifikia mkononi ikiwa imekamilika kila kitu ikiwemo service ya Oil na Filter, Leather seats, android...
  4. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

    Wadau gharama za gari zimepanda sana kuanzia, kodi, Shipping na CIF yenyewe. Lkn pia zilikuwepo mpaka za 17.8M nyingine hadi 35M ni uamuzi tu wa kile unachokihitaji wewe
  5. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

    Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote...
  6. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Wadau mwisho wa siku niliamua kuchukua Nissan Duals ambayo imenigharimu karibia 22Mil mpaka kuifikisha mkononi
  7. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Zinakimbia kweli
  8. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Leo
  9. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Tayari
  10. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Ndiyo mkuu kulingana na priorities zangu naona kama PREMIO ina take over
  11. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Hamna Premio wala Subaru humo
  12. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Crown nasikia nikishainunua nijenge na kisima cha mafuta kabisa nyumbani
  13. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Kuna jamaa kanitumia hii gari inbox kesem naweza kuifikisha Dar mpaka registration kwa mil 14-15. Make: SUBARU Model: FORESTER - SG5 Body Type: SUV Year of Manufacture: 2005
  14. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Hii siijui aise labda niifuatilie
Back
Top Bottom