Recent content by Wa-Dubai

  1. Wa-Dubai

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kwa nini lain zenu hazikubali kwenye simu za infinix hot 8?
  2. Wa-Dubai

    Mufti aagiza madrasa zote nchini kufungwa, swala ya Ijumaa kuswaliwa tofauti

    huo muda wa kuhudhuria jamaa atapata wapi wakati atakuwa kortini
  3. Wa-Dubai

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Hicho kitabu ndo kila kitu kwa waislam na ndio muongozo sahihi wa dini ya kiislam, haijilishi amekinunua yeye au la, Kosa kubwa kachana hadharani, ni sawa na kununua katiba ya nchi afu unaichana hadharani. even kuchana pesa hadharani uliotafta wewe kwa jasho lako ni kosa
  4. Wa-Dubai

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    lazima afukuzwe kazi mana anaowahudumia ni watu na wanadini na miongini mwao waislam wakiwepo, amekiuka maadili ya kazi hawezi toa huduma kwa usawa that why anachuki ya kidini
  5. Wa-Dubai

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Kwa kawaida huyo jamaa kwa kitendo alichokifanya hatakiwi hata kurudi tena kwenye kazi, inaonesha wazi ni jinsi gani hata kwenye kutoa huduma atakua alikuwa anaegemea upande moja, serikali lazima iingilie masuala ya kidini tu njena hapo amani haitakuwepo. unafikiri huyo jamaa asingekuwa chini...
  6. Wa-Dubai

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Kuna kitu kinaitwa Ethical issues amevuja maadili jamii lazma, uheshimu dini nyingine hata kama wewe sio muumini wa dini hiyo. kile kitabu sio kama vile vya nyambari nyangwine, au riwaya na tamthilia
  7. Wa-Dubai

    Ukweli ni upi katika kuvunjwa kwa EAMWS na kuundwa BAKWATA?

    na iko siku ukweli utasimama in Shaa Allah
Back
Top Bottom