Unawezaje kupoteza muda mwingiiiiiiiiiiiiiiiiiikutandaza ishu ambayo mimi kwa kuwa mteja mkongwe wa CRDB Bank nashiwishika kukuona una ajenda uchwara...Nakushauri next time, kabla hujazuka uone uongozi wa benki khs kero yako
Hoja yako haina mashiko.Inatoa picha ya jinsi ulivyo mpumbavu. Mimi nimteja wa benki ya CRDB kwa muda mrefu sasa. Na mara zote ninapokuwa nimetatizwa na issue ya kihuduma, ninapata ushiriakiano mzuri, maelekezo na ushauri kutoka kwa timu mahiri ya CRDB Bank. Siyo VIZURI, kuibuka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.