Recent content by Vunjavunja

  1. V

    Hali halisi jimboni Bunda mchuano kati ya Wassira na Bullaya

    aende zake mzee wasira kaisha choka awaachie vijana
  2. V

    Huyu ndiye rais

    our president is Lowassa
  3. V

    Matumizi mabaya ya mali za umma Tandahimba

    Katika hali ya kuskitisha nimeshudia kwa macho yangu gari la serikali la halmashauri ya Tandahimba- Mtwara likiwa limewabeba wanachama wa CCM. Ikiwa leo ni uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata ya Mkuti, gari la serikali aina ya landcrusal limewabeba wanachama wa ccm na...
  4. V

    Live kutoka Arusha, Kongamano la CHASO - yupo Lissu, Lema, Golugwa na wengine

    wenye akili finyu ndo wanafikri kama wewe nenda kwenye vyuo hivyo kama hautakuta waislamu wanasoma kwenye vyuo hivyo. Tatizi ninyi mnakalia majungu huku wenyenzio wanapiga kitabu. Usituletee mambo ya udini hapa.
  5. V

    Nakupongeza warioba kwa kuirejesha tanganyika

    Tanganyika ni miongoni mwa mataifa ya Afrika yaliyojipatatia uhuru wake mwanzoni mwa miaka ya 1960, kwa sababu ambozo hazijulikani taifa hili lilipotea tangu mwaka 1964, shukuruni zangu za pekee zimfikie mwenyekiti wa tume ya katiba kwa kuliona hili na kuwepo kwa umuhumu wa kuwa na taifa...
  6. V

    Live kutoka Arusha, Kongamano la CHASO - yupo Lissu, Lema, Golugwa na wengine

    Tuwekee na updates za picha ili tuone kinachoendelea
  7. V

    Dr. Bana, Kwa upinzani wako kwa CHADEMA, sasa tumejiandaa kuipinga ripoti ijayo ya REDET yako!

    Huyu huwa ni mwana ccm siku zote ila anashidwa kuwa muwazi kuwa yeye ni mlengwa wa chama gani
  8. V

    CCM, yako wapi Maisha Bora mliyoyaahidi kwa watanzania?

    Kweli hawa jamaa wako buzy na Tembo nakuchukua Korosho zetu ila kutupa huduma za muhimu wanatusahau.
  9. V

    CCM, yako wapi Maisha Bora mliyoyaahidi kwa watanzania?

    Jamaani serikali ya CCM muko wapi. Huku Mtwara- Tandahimba hali si nzuri wananchi waliowapenda wakawapa kura, leo hii wanalazimika kununua duma la maji sh 500 hadi 1000. Haya ndo maisha bora kwa wanamtwara?
  10. V

    Mkuu wa wilaya Dr. Norman Sigalla awatusi walimu Mbeya.

    Inaonesha viongozi hawa ndo vyanzo vya kuleta migogoro ktk jamii zetu anatakiwa kuomba msamaha kwa walimu wote wa tanzania si wa wilaya ya mbeya tu.
  11. V

    Mkuu wa wilaya Dr. Norman Sigalla awatusi walimu Mbeya.

    ujumbe umekufikia ndugu yangu kamueleze leo
  12. V

    Mkuu wa wilaya Dr. Norman Sigalla awatusi walimu Mbeya.

    Vipi au wewe ndo mwenyewe hujui maana ya nukuu kama huna la kuchangia kaa kimya sisi ndo walimu ambayo elimu yetu ni ya uhakika si ya kupewa mezani tumeangaika na elimu ya kitanzania, na tunadhalilishwa na watu wa vyeo vya kuteuliwa.
  13. V

    Mkuu wa wilaya Dr. Norman Sigalla awatusi walimu Mbeya.

    Kipi ujaelewa ndo ilivyo hivyo hivyo.
  14. V

    Mkuu wa wilaya Dr. Norman Sigalla awatusi walimu Mbeya.

    Ualimu ni fani ya watu waliofeli, hivyo hawana haki ya kudai nyongeza ya mishahara, hii ni kauli ya mkuu wa wilaya Mbeya Dr. Norman Sigalla huu ni uzalilishaji wa fani ya ualimu, na kudhalilisha fani zote hata yeye mwenyewe maana hata kuteuliwa kwake na J.K wote walifundishwa na walimu nina...
  15. V

    CHADEMA Kutingisha Morogoro

    Ni heli vita kuliko kuishi katika nchi ya kidharimu ya Tanzania inayoongozwa na CCM, nimefikia hatua ya kusema hivyo kulingana na unyanyasaji katika kila idara hapa Tanzania walimu, madkitari hadi leo hapa Morogoro wananchi tunapigwa mabomu na police utadhania sisi ni majambazo we are so tired...
Back
Top Bottom