Nimesoma habari za huyu jamaa kwa umakini na nimegundua kuwa:-
-Huyu jamaa alichokiandika NI MALALAMIKO na SI UHALISIA WA HALI ILIVYO. Ameandika kwa HISIA na SI KWA UKWELI.Mtu anapoandika kwa kulalamika maana yake ni kuwa alikuwa na matarajio ya kupata kitu fulani kwa faida yake binafsi na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.