Recent content by vumiliag

  1. vumiliag

    JamiiForums Tanzania inahitajika ist hata ikiwa no c bajeti 6.5

    haina shida
  2. vumiliag

    JamiiForums Tanzania inahitajika ist hata ikiwa no c bajeti 6.5

    mods naomba misifute huu uzi
  3. vumiliag

    JamiiForums Tanzania inahitajika ist hata ikiwa no c bajeti 6.5

    habari zenu wakuu nahitaji gari aina ya ist bajeti yangu 6.5 nikipata direct kutoka kwa muuzaji itapendeza zaidi maana najua mambo ya ma dalali 0745906009
  4. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata nyumba ya kupanga NHC Dar es Salaam

    na kwa gharama hizo ni bora utafute nyumba ya kupanga ya kawaida hata sinza huko ila nyumba za nhc bila hela uwezi kupata kupangishwa na wao lazima uandae milion kadhaa ndio upate wakati iyo milion yako kadhaa ushalipa kodi yako ya miez 6 na chenchi inabaki… ila if you’re interested nicheki pm...
  5. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata nyumba ya kupanga NHC Dar es Salaam

    mm nyumba nyingi zimejaa ila kuna dadaangu ana hama kikazi alikua ana tafuta mtu amuachie ila kwa gharama ya sh mil 4
  6. vumiliag

    JamiiForums Tanzania KERO Tanesco Mkoa wa Kinondoni Kusini- Kimara/Kibamba

    hapa navyoongea tangu usiku wanakata wanarudisha wanakata wanarudisha
  7. vumiliag

    JamiiForums Tanzania KERO Tanesco Mkoa wa Kinondoni Kusini- Kimara/Kibamba

    si bora huko wanakata mara moja huku kimara wanakata umeme baada ya lisaa wanaurudisha wanakata tena wanarudisha yaani wamefanya kama kamchezo nahisi kuna mtoto watakua wamemuachia achezee umeme … tanesco acheni huo utoto mnatuunguzia vitu vyetu siku ya 3 leo mnafanya huo mchezo
  8. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    gari bado ipo
  9. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

  10. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    ….
  11. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    haina kipengele chochote unaenda kuikagua ikikuridhisha unaichukua
  12. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    bado ipo
  13. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    bado ipo wakuu
  14. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    hapana mkuu ingekua yangu ningesema
  15. vumiliag

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    wala gari haina shida nmeipanda mara nyingi tu
Back
Top Bottom