Kuweka kumbukumbu sawa:
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, MHESHIMIWA ESTHER NICHOLAS MATIKO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2015/16 NA MAKADIRIO YA...
Ndio ushaanza harakati za kutaka kunivunjia ndoa mapema yote hii?
Mambo ya kunyimana yanaingiaje hapa.
FYI Nimeolewa na Mkurya, ole wako, ukigusa tu, MAPANGA SHAAAA!!!!!
Nilitarajia mwaliko kutoka kwako wa kule kwenye kiota chenu cha leo tupo hapa pub, lakini naona maneno matupu ambayo hayavunji mfupa.
Bi dada hebu acheni ubahili na ubaguzi yaani hamtaki haya kunitoa kimaso maso mtoto wa mwanamke mwenzenu
Cc: amu, ladyfurahia, sweetlady, FirstLady1, AshaDii...
Nlitegemea jibu hili kutoka kwako, wewe si mgeni kwangu
Ahsante kwa kuchangia maana umetuelimisha na tumejua uwezo wako katika kuchambua mada na kuleta changamoto.
Hongera kaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.