Recent content by Volcano Temperature

  1. Volcano Temperature

    Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    Mawazo ya kijinga kiwango cha Lami, wewe unavyoonekana utakuwa unalishwa na kuvalishwa basha wa dada yako !! Deni halilipwi na ndege itaachiliwa.... kama na wewe ni mnufaika wa hilo dili ujue tayari limeishabuma, anzeni kuhama nchi maana lazima mkaozee jela kwa uhujumu uchumi !!
  2. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Mkuu Pole sana... Navyofahamu Mwezi itakuwa ni kupata jina tu, bado sasa ujaanza kuzungurushwa, nenda rudi nenda rudi hadi miezi sita itaka uko hapo hapo tuu.
  3. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Mkuu... ni kweli kabisa kwa sababu kama umeingia kwa Qualifications huwezi haribu Carrier kwa kujibu watu vibaya namna ile... watakuwa hawajasoma na wameletwa na ndugu zao tu hapo.
  4. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Kiukweli hiyo ndio hali halisi ya pale BRELA... alipokuwepo Waziri Kaijage, kulikuwa nafuu sana lakini huyu aliyepo ni balaa, sijui wanamdharau sana au hajui kazi yake ni nini. Mi nashangaa kuna mtu anasema..... System ndio Tatizo mimi binafsi naona kabisa System ndio mkombozi wetu sisi wafanya...
  5. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Kiongozi hili ndio hasa linafanyika... Serikali inapata pesa kidogo sana ukilinganisha na pesa inayoingia mifukoni mwa hawa Staff wa Brela. unaambiwa wale jamaa pale Brela ni Matajiri kuliko unavyoweza kufikiria.
  6. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Yaani bado nafikiria haya majibu ya "unajua computer wewe? Tafuta mtu akusaidie, mimi huwezi kunielewa" "kwani wewe una documents gani hapo, usiniulize mimi we ambatanisha tu" Kiukweli wanatuona wa-Tanzania kama vile wote ni wajinga kama walivyo wao..... washenzi sana hawa
  7. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Dah... Kiongozi utakuwa na Bahati sana kama umeishasajili makampuni 11, Hongera sana. Kiukweli Mfumo wote wa ORS ni mzuri sana, tena sana.... ujue ulitakiwa kusajili Kampuni 11 ndani ya saa moja tu na wala sio Mwaka mzima, kwa sababu kitendo cha ku-Scan na ku-Upload hata kama una Kampuni, 15 ni...
  8. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Big Up Sana .... End of day we must win, cause we are in the right channel and they are in the wrong way. HAKUNA KUFELI HAPA.
  9. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Pole sana Mkuu.... Kiukweli wanatutesa sana, wewe usikate tamaa, dawa ni kuwaanika tu sasa hivi, hakuna kuwaonea huruma sasa kama wanakusababishia unapoteza uaminifu kwa Mteja wako ujue ni shida kubwa sana. Hawa wateja wetu ndio wanaotuweka mjini, ndio wanafanya Ofisi zetu ziwepo. Kaka komaa...
  10. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Kiongozi tujitahidi kuweka hii thread kwenye mitandao ya kijamii (WhatsApps, Instagram, Pen, Facebook, nk )mara nyingi iwezekanavyo ili Taarifa ziwafikie wahusika watoa maamuzi, wafanye ya kwao. Mimi nimeishaanza kazi hii.
  11. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Mimi kwa sababu wamenikwamisha zaidi ya mwaka sasa... nimeamua huu uzi kuusambaza kwenye magrupu ya whatsapp na mitandao mingine ya kijamii ili uwafikie watu wengi iwezekananvyo, najua ukitembea sana basi Magufuli ataupata inaweza ikatusaidia kwa kiwango flani.... kwa hiyo mkuu tujitahidi...
  12. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Mkuu... wewe Usichoke, endelea kwenda na usiwape pesa unajua watu wanaowapa pesa ndio wanatuharibia, wanafanya kuwajengea kiburi sana hawa jamaa.
  13. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Kiongozi ni kwamba.... Utamaliza hiyo kazi yako baada ya miezi, sio mwezi tena, we si unaendelea kwenda pale BRELA, utaniambia, watakusumbua wewe hadi utakoma mwenyewe. Sasa hata ukiwa na hizo docs... Kitambulisho cha NIDA, na nyingine nyingi tu watakwambia kajaze hayo ma-form yao ndio hapo sasa...
  14. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Kiongozi kwenye hizi Taasis... Naona kama bado kabisa hatujafikia hatua ya kujivunia kuwa kuna Taasis inafanya kazi vizuri, wafanyakazi wamekuwa kama majambazi yanayopora haki zetu, Ukienda SUMATRA Shida, Ukienda TANESCO Shida, Ukienda TRA Shida, Ukienda NIDA Shida.... alafu tunaendelea...
  15. Volcano Temperature

    BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

    Mkuu.... Huyo jamaa waliomwambia awasilishe document ukute aliwaachia pesa, wale hawafanyi kazi bure hata kama wanakujua, Sijui kwanini Rais John Pombe Joseph Magufuli hajapata hii taarifa wakati kila siku watu wanawalalamikia. au wasaidizi wa Magufuli nao pia ni wazembe pia ?
Back
Top Bottom