Recent content by Voiceless

  1. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu sheria usalama barabarani

    Ilitokea pale Bondeni darajani kwenda Tegeta kuna daladala iling'olewa namba zote za mbele na nyuma na dereva aliyekuwa anaendesha gari ya zto Kinondoni. Je, sheria inasemaje kuhusu kosa la kutoa namba?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje bajaj inapozidisha abilia kukaa siti na dereva?

    Rejea hii ilikuwa sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. V

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje bajaj inapozidisha abilia kukaa siti na dereva?

    Issue sio kupigwa sheria ina ruhusu kupigwa makofi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. V

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje bajaj inapozidisha abilia kukaa siti na dereva?

    Tukio hilo la ajabu labda kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa sheria bajaj moja pale mwenge mataa ilikuwa imezidisha abiria yaan abiria amekaa siti moja pamoja na dereva askari mmoja mnene mweupe ana nyota moja alisimamisha ile bajaj na kuondoa ile karatasi ya motor vehicle bima na kumshushia...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na askali police garden ya posta ya zamani hakina afya kwa jamii

    Hahaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. V

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na askali police garden ya posta ya zamani hakina afya kwa jamii

    Jana mida ya sita mchana asikari walizunguka viunga vya garden ya posta ya zamani NBC na kukamata kila aliyekuwa amekaa ndani ya viunga hivyo hii ilipelekea baadhi kupigwa akiwemo mwanafunzi wa chuo cha Ifm na kijana alionesha barua zake alikuja kutuma maombi ya kazi lakini alipakiwa kwenye gari...
Back
Top Bottom