Recent content by Voiced Voice

  1. V

    Tunahitaji Rais mwanadiplomasia haraka

    Watanzania tunabahati kwani tumeonja marais wa namna mbalimbali. mwanadiplomasia JK kaondoka juzi juzi tu hivi katuachia nini cha maana? Tuache kujifanya tumezaliwa jana. Kama huna la kusema hata kukaa kimya pia ni kufikisha mawazo
  2. V

    Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi

    Labda effectiveness ya kutowataja hadharani ilikua ni ipi ambayo kwa sasa kwa vile wanatajwa (anatajwatajwa) imetoweka? kama kuna faida maridhawa taifa lilipata kwa kutowataja na sasa linapata hasara kwa kuwatajataja basi mjadala utakua na tija.
  3. V

    Dr. Vicensia Shule, Mhadhiri aliyeandika ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli ahojiwa na Kamati ya Maadili UDSM

    Ni mala chache sana wanaopatwa na mikasa hiyo kuwa ni wasichana wenye akili na wanaojituma. Wengi wa wahanga ni wale wenye kupenda vya mtelezo na kujirusha sanaaaaaaa huku wakisubili busara za lecturers ziwaokoe. Wengi wao huwa wamefeli na hujipeleka wenyewe kulia lia kuomba wasaidiwe ndipo...
  4. V

    Uchaguzi Liwale: Mgombea kupitia CCM, Zuberi Kuchauka ashinda kwa 85%

    Hivi vyama vya siasa mmeshindwa kuweka mawakala kila kituo? vipi zile karatasi za matokeo zinazibandikwa nje ya kila kituo na wakala kupewa nakala mnashindwa kuzipata? tuache kulalamika kwa kupayuka tu. waamvie mawakala wakusanye matokeo ya kila kituo kisha leteni hapa data zote na vielelezo...
  5. V

    Marekani wakiamua watashindwa kuuanikia mkataba wa manunuzi ya Dreamliner?

    Kwahiyo ndio ushindwe kutetea haki yako kwa kuwa makosa yako yatajulikana? Tuache uoga
  6. V

    Marekani wakiamua watashindwa kuuanikia mkataba wa manunuzi ya Dreamliner?

    Historia ipo ili tujifunze sio tuwe watumwa wake
  7. V

    Marekani wakiamua watashindwa kuuanikia mkataba wa manunuzi ya Dreamliner?

    Uko tayari kumwachia mkeo baunsa? Yaani kwa kuwa wanaweza kutufanya lolote tuwaache watufanyie hata viaivyotufaaa. Nyerere aliondoka na busara zake kwa kweli.
  8. V

    Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Kabla ya kufanya yote hayo, naomba mumwambie Mheshimiwa kuwa kwanza ahakikishe gharama za kuunganisha mitandao tofati ni sawa na za kupiga mtandao mmoja na pia ahakikishe bundle zote za simu zinakata across. La sivyo ni maigizo. Nina watu muhimu wako Vodacom, wengine wako airtel na wengine wako...
  9. V

    Ya MV Dar es Salaam kujirudia kwa Dreamliner?

    Tofauti yetu na wanamagharibi ni kuwa upinzani wetu wa kisiasa unatufanya tuwe vipofu na kutoitakia mema taifa letu. Watu wanasali wakiomba mipango iharibike ili wawe na cha kusema
  10. V

    American Government must impose an embargo to Tanzania now or never!

    Nchi inapoteza uhuru wewe unachekelea? Hata congo anayepigana sio Marekani wala ufaransa lkn waulize kwanini wanauana? Utasikia marekani anachangia wapigane wewe uko hapa unachekelea
  11. V

    American Government must impose an embargo to Tanzania now or never!

    Unauhakika Gani kama CHADEMA hawatafanya hayo? Watu tutumie akili jamani. Manaweka matumaini makubwa sana kwa watu kwa nini?
  12. V

    American Government must impose an embargo to Tanzania now or never!

    Mind you identity. Do u still deserve to call yourself MZALENDO?
  13. V

    Katibu wa ACT-Wazalendo Tarime ahamia CCM, amshutumu Zitto kukitumia chama kwa matakwa yake binafsi

    Lkn walikaa kwenye vyeo hivyo. Kwanini tusiangalie uzito wa hoja zao tunahoji kipato chao?
  14. V

    Edward Lowassa: Kilichomtoa mbunge wa Monduli Kutoka CHADEMA kwenda CCM ni mkopo anaodaiwa

    Unadaiwa mkopo kisha ukahamia CCM harafu mkopo unajilipa au? Yeye Lowasa alisemwa amehama baada ya kununua uongozi wa CHADEMA, je ilikua kwel? Kama kwake sio kweli basi hata huyu sio kweli pia i
Back
Top Bottom