Recent content by vlyn

  1. V

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la mwanangu

    Nashukuru Sana nitaufanyia kazi ushauri wako mkuu
  2. V

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la mwanangu

    Asante nitazingatia hili pia
  3. V

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la mwanangu

    Asante kwa ushauri
  4. V

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la mwanangu

    Ahsante kwa kumkumbusha
  5. V

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la mwanangu

    tayari ana umri wa mwaka 1 na miezi 3 sasa
  6. V

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la mwanangu

    bado namnyonyesha lkn muda mwingi sipo nae anatumia vyakula vya ziada hasa maziwa lakini yanampa hiyo shida
  7. V

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la mwanangu

    Habarini wana JF, Naombeni ushauri mwanangu ana umri wa mwaka na miezi 3 sasa anapenda Sana kunywa maziwa ya ng`ombe lakini anapoyatumia anapata kinyesi chepesi na chenye harufu Sana na rangi ya maziwa maziwa. Je, tatizo linaweza kuwa nini kuhusiana na hayo maziwa? Haonesha kupata maumivu ya...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hili la Vitamin C na Corona

    noted mkuu
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anasumbuliwa na chunusi za uso

    Nasubiri comments nami nimpe ushauri
Back
Top Bottom