Recent content by Vladimir Nacobov

  1. V

    Ni njia ipi nzuri ya kuuza vitabu/courses na muziki online nikiwa Tanzania?

    Storika nafahamu wewe ni mmoja wa wenye hizi platforms, nitakutafuta tu PM lakini tafadhali huu mjadala hebu kwanza tuufanye hapa kwa manufaa ya vijana wengi wanaotamani kujiajiri na hii mitandao lakini hawajui wafanyeje.
  2. V

    Ni njia ipi nzuri ya kuuza vitabu/courses na muziki online nikiwa Tanzania?

    Pamoja na kwamba mimi ni mgeni humu lakini naomba kupata mawazo juu ya uchapishaji kazi za sanaa online hususani vitabu, njia ambayo inaonekana sasa kuwa mkombozi kwa watunzi wengi tofauti na zile zama za giza ambazo ilimpasa mtu apige kwanza magoti kwa makampuni makubwa ndipo kazi yake iweze...
Back
Top Bottom