Mna maanisha nini kusema analindwa? Mimi naona hiyo ni style yake. Ni kama vile mtu anavyoamua kutembea kwake azungukwe na wazee au vijana au watoto. Kama angekuwa analindwa basi wale watu wange beba bunduki, bastola, mashoka, rungu, panga n.k. kwani ulinzi maana yake nini? mmesahau neno la...