Recent content by Viva-perry

  1. V

    JamiiForums Tanzania Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

    Wee sio wamama wote tafadhali,mmama mimi naona za wanaopenda ku-fake maisha
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Kitanzania huwa hawajiamini wanapokua kwenye mahusiano na sisi wanaume Mabrothermen?

    Mnaaminika kuwa na wadada wengi na ubinafsi,kujipenda nyie tu wenzenu aaah!
  3. V

    JamiiForums Tanzania Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

    Nilisoma girls advance nikakuta kuna watu wanaitana mume,mke kuna bimkubwa na mdogo nilichukulia kawaida kishuleshule kumbe ni hizi mambo
  4. V

    JamiiForums Tanzania Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

    Daah! na uongo wake anakuongezea na hasara tena,pole aisee
  5. V

    JamiiForums Tanzania Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

    Hahahaa,huyo kamaliza uongo wote humu
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

    Hii kiboko
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

    Hii kweli kabisa
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nimebaki njia panda Juu ya kufanya maamuzi magumu kwenye mahusiano yangu ya mapenzi

    Baki na aliyekuzalia mtoto muweze kulea mtoto wenu,kamilisha taratibu nyumbani kwao likizo awe anarudi nyumbani kwako utimize hilo jambo lako la kuishi na mwanamke ndani
  9. V

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa kwa kijana wa miaka 20 kuoa mwanamke mwenye miaka 27?

    Kwa umri huo wa kwako yuko form two B saizi msubiri amalize umuoe huyo
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya upande mmoja

    Baada ya kukupa tunda huwa unampa nini?
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Hivyo tu?
  12. V

    JamiiForums Tanzania Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

    Jina lako tu haliendani na komoni ongeza hiyo kiatu sina tatizo na wewe labda tu kiwe kimekula vumbi hapo ndo tabu itapoanzia
  13. V

    JamiiForums Tanzania Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

    Tuma picha kwanza nione ulivyovyaa afu nikwambie
Back
Top Bottom