Recent content by VITARA

  1. V

    Car4Sale Nauza Nissan Civilian, T 884 CWZ

    Nissan Civilian T 884 CWZ ya Rangi ya njano inauzwa, ipo kwenye hali nzuri na imefanya kazi kuanzia october 2014, inafanyiwa service. Inauzwa kwa kuwa zinahitajika fedha kwa haraka sana. Bei ni karibu na bure, Milioni 30 tu. kwa maelezo zaidi na Kama unahitaji nicheki whatsap, nipigie au nitext...
  2. V

    Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA

    Lizaboni CAS ndo nini? Rais Kikwete alisema 'huko duniani kuna watu wana pesa ukiweza kujieleza wanakupatia tu'! Kama wamefadhiliwa wewe unawashwa nini? Mbona hawa wanaoiba kodi zetu upo kimya? Unajua mkuu wa mkoa wa mwanza anakaa hotelin kwa mwezi analipa shilingi ngapi? Mwaka huu lazima mkae.
  3. V

    Capital Market and Securities Authority Interview

    Gazeti la Guardian la tarehe 23.1.2015 lilitaja kuwa Interview itafanyika jumanne ya tarehe 27.1.2015. Je haikufanyika? ndio maana wameamua kutuma sms kwa walioitwa interview?
Back
Top Bottom