Sidhani kama alikuwa au alishawahi kuwa "a minister material" zaidi ya kujua kucheza karata zake kwa wakati muafaka. Nasema hivyo maana naamini ni product ya Lowasa 100% na mwanafunzi mzuri wa Lowasamania. Ukifuatia jinsi anavyojua kujipenyeza (lobbying) basi ni haki yake kudondoka once a master...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.