Recent content by vitamin C

  1. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Msio oa: changanueni vizuri maswali haya mawili yanayofanana

    Mekupata dada'ngu naenda na theory'ko ila mke akinishinda nakurudia wewe 7bu we ndo umenshauri hvyo...
  2. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Msio oa: changanueni vizuri maswali haya mawili yanayofanana

    So nkipata mwanamke leo kesho nioe au kuna specific interval ya time kusema hii ni minimum hii ni maximum..??hafu kuzaa mongo ile ni risk factor tu so sio lazima ni kama mtu kunywa pombe na kupata cancer ya koo..ni risk factor tu so sio necessary..
  3. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Msio oa: changanueni vizuri maswali haya mawili yanayofanana

    Wat if kwangu kutokea hyo 23 to 30s ndo kiasi.?.?uvumilivu ndo utakaokuoisha mbivu siku zote...hiv unajua kumchunguza binadam hasa wa kike inaweza kukugharimu hata "mwongo mmoja"(miaka 10) na bado usipate jibu sahii...
  4. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Msio oa: changanueni vizuri maswali haya mawili yanayofanana

    Mmmmmhh so mda wangu wa kumchunguza ye anaona kwake unaenda saana huyo si ndo tapeli mwenyewe huyo...hafu hapo mi ndo sielew kwani ni wanawake tu ndo wanapotezewa muda..??kwa maana wanaume hatupotezewi muda.??
  5. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Msio oa: changanueni vizuri maswali haya mawili yanayofanana

    Eeeehh...sa kama wanaona wakiniuliza hamna kitu kwann bado wanaendelea kuja.?.?hafu cha kushangaza japo wanaendelea kuja bado hawaniulizi hata hao wapya wanaokuja..??namie silianzishi hilo suala...au ndo 7bu..?
  6. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

    Hahahahaaa naja axeeeee mpango mzima mama Bantu
  7. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Msio oa: changanueni vizuri maswali haya mawili yanayofanana

    Eeeehhh...muelekeo tenaaa.....kwa hiyo mi ndo wananpotezea muda sio...??
  8. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Msio oa: changanueni vizuri maswali haya mawili yanayofanana

    Nmeogea hadi maji ya azam mkuu lakini holaaaa...sijui nani kanfunga axeeeee
  9. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

    Kwa kweli mheshimiwa sungura nakutaka radhi na naahidi kutokurudia tena kitendo changu kiovu cha kuwaita wakufunzi wanafunzi wenzangu hakika naamini ntafanya vizuri na ntajituma kwa dhati katika kipindi chote niwapo mafunzoni.... Bantu wakike nakutaka radhi pia...
  10. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

    Mimi npo tayari hata leo jioni na hii hali ya hewa si unaiona ama we haupo mjini daslaamaaa
  11. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

    Anhaaaaa sasa nmefurahi kugundua kua wanafunzi wenzangu mpo hapa naomba Bantu lady pa1 na Sungura wote tukutane katika darasa 1 tusome kwa pa1 kwani nyie hamtaki namie nfaulu kama nyie....??
  12. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

    Eeeehh...kweli na ntajitahidi nitengeneze sare ya hilo darasa...
  13. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Ipe maneno picha hii

    Ulikua unatafuta nini kwenye pochi'ngu..??
  14. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Nifanye lipi kati ya haya mawilii? Nna milion moja na laki tano

    Upo mkoa gan kwanza maana ushauri unaendana na mazingira...nsijekukushauri ununue ngalawa hafu ukute upo Dodoma..
  15. vitamin C

    JamiiForums Tanzania Msio oa: changanueni vizuri maswali haya mawili yanayofanana

    Mkuu daaah mi mbona huwa siuliswagi axeeee au sina maslahi kwao.?.?
Back
Top Bottom