Mzee Warioba alishamaliza kitambo alisema kuwa kuna wanaCCM imani kama yeye na WanaCCM maslahi kama mtoa mada, wewe kimche cha mchicha unafikiria kung'oa mbuyu wa miaka %, alafu matunda yake yanaliwa na pande zote bila kujali maslahi ya kiitikadi, ccm maslahi hoyeeeeeee naona mzee wa imani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.