Recent content by visionary

  1. V

    Rais Magufuli na kasi ya ukuaji wa uchumi

    Mimi sio mchumi ila yeyote anayedhani na kukubali kuwa wastani wa pato la mtanzania ni 1.9 m kwa sasa ni wa kupuuzwa.
  2. V

    Ushauri kwa Wajumbe wa NEC

    Hii mbona kama blackmail. Kwamba wakumbuke vile walivyonavyo na jinsi watavyovipoteza kama tu watafanya yale yasiyopendwa na wewe mtoa ushauri. Nadhani wao ni watu wazima, mpaka kufikia kufanya hivyo watakuwa wamepima yote yaliyo katika nafasi ya kupotezwa na kufanya maamuzi sahihi kutokana na...
  3. V

    Hakuna Uwezekano wa Bunge kupitisha Sheria za Gesi, wanapoteza Muda!

    Ingawa mie sio mwanasheria ila kwa kuangalia kifungu hicho hapo juu nilichohighlight inaonekana wazi kubadilisha ni pamoja na kutunga sheria mpya
  4. V

    Dr. Slaa uso kwa uso na Zitto kwenye Mdahalo tarehe 18 June!

    Kwani mleta mada, ulikuwa unatuhabarisha, ama unataka kuanzisha mjadala kabla ya mdahalo unaodai kuwepo ama unataka kutuonyesha upande uliopo, au unataka kutuchonganisha ama unataka nini hasa?? Mbona umakini, ukweli, uzalendo na uungwana umekosa katika maneno yako????
  5. V

    Ungana nami katika Imani ya Ujamaa wa Kidemokrasia ya ACT- Wazalendo

    Labda nikueleweshe tena, katika mfumo wa kijamaa kunakuwa na communal ownership. Hii ina maana jamii ama wananchi wanamiliki vitu vyote kwa pamoja. Lazima wananchi hawa wawe na mfumo wa umiliki na huu ni serikali. Hakuna kiini macho hapo, unaposema kutauwa na mfumo wa umiliki unamaanisha...
  6. V

    Ungana nami katika Imani ya Ujamaa wa Kidemokrasia ya ACT- Wazalendo

    Kwa imani uliyonayo, hicho ulichokizungumzia ndo ujamaa??? yaani kutumia rasilimali tulizonazo kuwainua wanyonge unadhani ndo ujamaa!!!!??? hii ndo maana ya ujamaa kwa lugha nyepesi, Mfumo wa kisiasa na kichumi wa kuanganisha jamii unaoelekeza kuwa njia za uzalishaji, usambazaji na ugawanyaji...
  7. V

    Ungana nami katika Imani ya Ujamaa wa Kidemokrasia ya ACT- Wazalendo

    Jamani hebu tusijidanganye. Kwa mtu yeyeto mwenye uelewa wa dunia inakoelekea wakati huu hawezi kuwa anaongelea ujamaa. Karne hii ujamaa utakusaidia kwa lipi??? Kwa taarifa yako Ujamaa ndo umetufikisha hapa tulipo kwa asilimia kubwa. Watu wamekuwa wazembwa, sio aggresive, hawajui kudai haki...
  8. V

    Nimeanini UDSM ni cha kipekee Tanzania, Hawana mgombea, Hawajaenda kumshawishi yeyote

    Hii ni nonsense argument. Hebu kasome we mtoa mada, uchu wako wa kutokuwa ulipotaka kuwa kusikufanye kipofu wa uhalisia. SUA kimeenda kwa nani kumshawishi, Mzumbe je??? Kama na wewe unajihesabu kuwa msomi wa Taifa hili, nakushauri uanze upya Sekondari, maana njia uliyopitia ya kwanza...
  9. V

    Kama askofu Pengo amewasaliti maaskofu, Lipumba amewasaliti waislamu wote?

    inasikitisha jinsi ambavyo uchama unaweza mpumbaza mtu. Hivi kweli mtoa mada umeishi katika mazingira gani, na una upeo kiasi gani hata kuweka siasa mbele na uzalendo nyuma!!! inanipa wasiwasi na hofu kubwa nikiona vijana wa nchi hii tunavyotumika kuharibu amani yetu wenyewe. Labda hujui vita ya...
  10. V

    CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    mbona saa tano ndo hii, na sijasikia kitu
  11. V

    Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    Kwani nyumba ya bodi ya sukari, nani anaishi??????
  12. V

    Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

    Hehehehe imani ni jambo lenye kugusa hisia za watu katika upekee wake. Imani hufanya mtu asahau utu na thamani yake katika jamii wakati mwingine. Imani huweza kumfanya mtu akasahau hata jirani yake ni nani na ipi misingi ya maisha yake. Imani ina nguvu ya kututenganisha hata kama tunaelewana kwa...
  13. V

    Hivi hawa wazee vigeugeu ni akina nani

    Nimesikia wanasiasa kadhaa wakidai kuwa wazee wamewashauri au wamewabembeleza kugombea uongozi wa nchi hii hasa uraisi. Swali langu hasa ni kuwa hawa wazee ni akina nani, na mbona hawaeleweki maana kila mmoja kafuatwa na wazee hawa ili agombee uongozi. Au ni wacheza kamali wanatafuta wachezaji...
  14. V

    Lowassa ashitukiwa kuhusu matumizi mabaya ya Picha anazopiga na Viongozi

    Kila siku nikisoma mawazo ya watanzania wenzangu nazidi kata tamaa kuhusu tunakoelekea kisiasa na kiuongozi. Hivi hii topic uliyoleta ni umbea, taarifa, tetesi, wazo, mada au swali. Maana inaonekana hata ujajipanga. Tokea mwanzo wa topic yako umeonekana kama mtu unaetoa taarifa tena yenye...
  15. V

    ESCROW: Hatimaye Tibaijuka, Chenge watumiwa ankara kulipia kodi

    BAdo sijaelewa wanalipa kodi kwa msingi upi. Ina maana leo hii mie nikipewa fedha na mshikaji wangu inabidi niilipie kodi.....au ndio danganya toto ili wasirudishe hiyo pesa yote???? Kwanini Watanzania tunadanganywa kwa vitu vidogo vidogo sana. Hawa hawakulipwa ila wamegawiwa. kama walilipwa...
Back
Top Bottom