Recent content by VipodoziMbeya

  1. V

    Agents wanahitajika kila wilaya - urgently

    Piracy ni challenge ya Dunia ila tumejitahidi kuipunguza kwa asilimia kadhaa.
  2. V

    Agents wanahitajika kila wilaya - urgently

    Tina Educational Centre ni watengenezaji wa video za masomo mbalimbali kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Kwa sasa tunahitaji Agents kila Wilaya Tanzania. Kwa sasa tuna DVD (VIDEO) ya maswali na majibu kidato cha pili kuanzia mwaka 2009-2013. DVD inauzwa Tsh 2500/= kwa Agent na...
  3. V

    Part Time Job

    Wadau habari zenu! Ninamalizia kazi ya kufanya Market survey ya magari Tanzania. Katika survey hiyo pamoja na mambo mengine nahitaji kujua idadi ya magari mapya yaliyonunuliwa kuanzia Mwaka 2009 hadi 2014 by brands and model. Tafadhari naombeni msaada wenu maana mteja wangu anahitaji hiyo...
  4. V

    Msaada kwa malipo

    Wadau wa Jamii Forum habari zenu! Ninamalizia kazi ya kufanya Market survey ya magari Tanzania. Katika survey hiyo pamoja na mambo mengine nahitaji kujua idadi ya magari mapya yaliyonunuliwa kuanzia Mwaka 2009 hadi 2014 by brands and model. Tafadhari naombeni msaada wenu maana mteja wangu...
  5. V

    Biashara ya Unga wa mahindi - sembe

    Wadau habari zenu! ni matumaini yangu hamjambo! Niombeni kujua katika hii biashara ya kusanga na kupack unga wa sembe TFDA, TBS wanahusikaje? Na je kwa kuanza biashara hii nilazima kusajiliwa na TBS na TFDA? Naombeni msaada wenu please.
Back
Top Bottom