Habar zenu wapendwa,
Kulingana na title hapo juu inavyojieleza ni kwamba kwa yoyote anayejua upatikanaj wa notes za Ordinary Diploma in Clinical Medicine either iwe n kwa njia ya magroups au online research.
Naombeni msaada kwa ambao wameshapita hii stage na kwa ambao wapo kwenye hii stage.
Habar zenu
Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
Asnte mkuu,,,
Naomba unieleze mkuu kwan hii course ina husu nn?
Na je kwa level ya diploma Kuna uwezekano wa kupata mkopo au ukiunganixha na degree Kuna uwezekano wa mkopo??
Habar wapendwa,
Wakuu nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu hii course ya health information science kuwa ina husu nn na je n nzuri. Nmemaliza kidato Cha nne mwaka jana nmefaulu kwa divsn 1 ya 12 na nmepangiwa chuo Cha afya mtwara kusomea course ya health information science asa mnanishauri nifanye nn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.